Karibu mpendwa msomaji kwenye jukwaa hili ambalo limetengenezwa na Raymond John Ngomuo kwa ajili ya kufikisha fikra na mawazo yangu kuhusiana na mambo mbalimbali kuanzia maisha ya mtu binafsi mpaka level ya kimataifa.
Kwa kuwa ni imani yangu kwamba Mungu ametuleta duniani kwa makusudi yake ili tuweze kufanya kazi yake, hivyo basi ni wajibu wangu mimi kama kijana, mtanzania, mjasiriamali, tajiri na mtumishi wa Mungu kufanya kile ambacho Mungu amenituma nifanye.
Kwa mawasiliano zaidi:
- facebook @ johnnieson
- twitter @ Raymond_John
- email : raymondjohn001@gmail.com
- contacts : 0672 095881
0 comments:
Post a Comment
Karibu Uchangie Hapa. Plant and grow creative.