Xara graphics software

01:38
0

wesovu - Easy revision.

      Hili ni jukwaa ambalo lipo kwa ajili yako wewe mwanafunzi, mwalimu na mtu yeyote anaependa kujifunza. Hapa utapata kila kitu kwa ajili yako wewe kujifunza: past papers kutoka shule mbali mbali Tanzania na nje ya Tanzania, video tutorials(zilizoelezewa kwa kiswahili na kiingereza), mauzo ya vitabu BOOK SALES vipya na vya zamani.
 wesovu - Easy revision

           Jukwaa hili linakuongezea maarifa kutoka katika kila sekta, ikiwa wewe ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka sita, basi hapa ni mahali sahihi kwa wewe kufanya marudio na kuongeza ujuzi. Tembelea www.wesovu.com kila wakati kupata maarifa zaidi.

         Ikiwa unataka kununua kitabu chochote ama kuuza kitabu kipya ama cha zamani, utapata hapa hapa wesovu.com kwa gharama nafuu kabisa. Usisite kutembelea wesovu.com


wesovu inaletwa kwenu na wesovu Inc - Plant. Grow Creative
Next
This is the most recent post.
Older Post

0 comments:

Post a Comment

Karibu Uchangie Hapa. Plant and grow creative.

Success Tips

It is always the SIMPLE that produces the MARVELOUS.....