Akiwa na umri wa miaka 25 tu, Sandile Shezi ndiye kijana mdogo tajiri zaidi Afrika ya Kusini, angalia video hapo juu kuona jinsi gani anavyoelezea maisha yake kiujumla, hope utaenjoy kwani jinsi anavyoongea ni kama mtu mzima sana lakini ni kijana mdogo tu..
0 comments:
Post a Comment
Karibu Uchangie Hapa. Plant and grow creative.