Mpendwa msomaji tunaendelea na orodha yetu ya matajiri kumi bora mwaka 2017.
4. AMANCIO ORTEGA
Ortega ana utajiri unaofikia US Dollars 71.3billions sawa na trillion 159.14 shilling za kitanzania, hii ni sawa na takribani mara 5 ya bajeti ya Tanzania 2017/2018.
![]() |
AMANCIO ORTEGA |
Ortega ni raia wa Uhispania, ana umri wa miaka 79, na chanzo kikuu cha utajiri wake ni kampuni zake za Inditex na Zara.
5. MARK ZUCKERBERG
Huyu ndio kijana mdogo kabisa kwenye orodha ya matajiri kumi (10) wa mwanzo duniani. Akiwa na umri wa miaka 32 tu, Zuckerberg ana utajiri unaofikia US Dollars 56.0billions ambazo ni sawa na trillion 125 shilling za kitanzania.
![]() |
MARK ZUCKERBERG |
Zuckerberg ni raia wa Marekani, na chanzo kikuu cha utajiri wake ni Facebook alioianzisha mwaka 2004 Februari 4. Zuckerberg ni mmja wa vijana wenye ushawishi mkubwa sana kwa vijana wengi ambao ni wavumbuzi na wanatamani siku moja wawe kama yeye.
Fuatilia blg hii raymondjs.blogspot.com kila siku kupata stori mpya za mafanikio.
0 comments:
Post a Comment
Karibu Uchangie Hapa. Plant and grow creative.