Karibu mpendwa msomaji, hii ni blogu inayokuletea maisha ya watu mbali mbali wenye stori za kusisimua za mafanikio. Ungana nami Raymond John upate kuelimika na kujifunza mambo mbali mbali kuhusiana na mfumo mzma wa maisha.
Tunaangazia kila kona ya dunia, kuanzia Tanzania, Afrika ya mashariki na kuizunguka dunia yote kwa ujumla tukijifunza vitu mbali mbali ambavyo vimekuwa chachu ya mafanikio kwa watu wengine. Kupitia watu wengine waliofanikiwa tunaweza kujifunza namna ya kuendeleza mawazo yetu yaweze kuleta matunda katika jamii yetu.
Karbun saana.
ReplyDelete